Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Dkt. Benjamin L, MD
Ijumaa, 28 Januari 2022
Tikiti asali
Viinilishe vinavyopatikana kwenye tikiti asali
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Sukari
Madini
Vitamini
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye tikiti asali
Tunda la Tikiti Asali lina kemikali muhimu inayoitwa
Viinilishe vinavyopatikana kwenye tikiti asali
Nishati = 36kcl
Jumla ya mafuta = 0.1g
Kabohaidreti = 9.1mg
Sukari = 8.1g
Nyuzilishe = 0.8g
Protini = 0.5g
Maji = 89.82g
Madini yanayopatikana kwenye Gramu 100 za tikiti asali
Madini chuma = 0.17mg
Kalishiamu = 6mg
Magineziamu = 10mg
Fosifolasi = 11mg
Potashiamu = 228mg
Sodiamu = 18mg
Kopa = 0.02mg
Zinki = 0.09mg
Vitamini zinazopatikana kwenye gramu 100 za tikiti asali
Vitamin A = 3mcg
Vitamini B1 = 0.038mg
Vitamini B2 = 0.012mg
Vitamini B3 = 0.418mg
Vitamini B6 =0.088mg
Vitamini B9 = 19mcg
Vitamini C =18mg
Vitamini E = 0.02mg
Vitamini K = 2.9mcg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa tikiti asali
Hupunguza shinikizo la juu la damu
Huimarisha mifupa
Huweka msawazo wa maji mwilini
Huimarisha afya ya ngozi
Husaidia mmeng'enyo wa chakula na kulainisha haja kubwa
Hurekebisha kiwango cha sukari mwilini.
Huimarisha kinga ya mwili
Majina mengine
Tikiti asali hufahamika pia kwa kiingereza kama honeydew melon
Imeboreshwa,
28 Januari 2022, 18:56:35
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Honeydew melon nutritional value. https://www.nutritionvalue.org/Honeydew melon%2C_raw_63127010_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa 20 12. 2021.
Lester GE. Antioxidant, sugar, mineral, and phytonutrient concentrations across edible fruit tissues of orange-fleshed honeydew melon (Cucumis melo L.). J Agric Food Chem. 2008 May 28;56(10):3694-8. doi: 10.1021/jf8001735. Epub 2008 May 3. PMID: 18454549. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/18454549/. Imechukuliwa 20 12.2021.
Prior R.L. Fruits and vegetables in the prevention of cellular oxidative damage. Am. J. Clin. Nutr. 2003;78:570S–578S. doi: 10.1093/ajcn/78.3.570S. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC8469201/. Imechukuliwa 20.12.2021.
