Mwandishi:
Mhariri:
ULY CLINIC
Dkt. Sospeter B, MD
Jumatano, 10 Novemba 2021
Vitamin B1
Upungufu wa vitamin B1 hii husababisha hisia za miguu kuwaka moto, kulegea kwa miguu au mikono, mapigo ya moyo kwenda kasi, kuvimba mwili, kukosa hamu ya kula, kichefuchefu, uchovu na matatizo mengi ya mfumo wa chakula.
Majina mengine
Vitamina B1 hufahamika pia kama Thiamine
​
Madhara ya vitamin B1
Madhara ya kula vyakula vyenye vitamin B1 kupita kiasi bado hayajulikani.
​
Vyanzo
Vyanzo vya vitamin B1 (Thiamin) ni nini?
​
Vyanzo vikuu vya vitamin B1 ni;
Mbegu za alizeti
Uyoga
Maharagwe meusi
Kunde
Spinachi
Mbaazi
Nyanya
Ngano isiyokobolewa
Maharagwe ya soya
Samaki,
Maharagwe ya kawaida
Imeboreshwa,
10 Novemba 2021 10:59:23
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
NHS. https://www.nhs.uk/conditions/vitamins-and-minerals/vitamin-b/. Imechukuliwa 14.07.2020
Vitamin B. better health channel. https://www.betterhealth.vic.gov.au/health/healthyliving/vitamin-b. Imechukuliwa 14.07.2020
David O. Kennedy. B Vitamins and the Brain: Mechanisms, Dose and Efficacy—A Revie. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC4772032/. Imechukuliwa 08.04.2021
R. A. Peters. THE VITAMIN B COMPLEX. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC2457859/. Imechukuliwa 08.04.2021
Neuroton. https://www.amoun.com/leap-portfolio-project/neuroton-ampoules-tablet/.Imechukuliwa 08.04.2021
Fiona O’Leary, et al. Vitamin B12 in health and diseses. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC3257642/. Imechukuliwa 08.04.2021
Vitamin B9 nutrition facts. https://www.nutri-facts.org/en_US/nutrients/vitamins/b9.html. Imechukuliwa 08.04.2021
Vitamin b9(folic fcid)https://www.hsph.harvard.edu/nutritionsource/folic-acid/. Imechukuliwa 08.04.2021