Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Dkt. Benjamin L, MD
Ijumaa, 28 Januari 2022
Zambarau
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Zambarau
Mafuta
Kabohaidreti
Protini
Madini
Vitamini
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Zambaru
Tunda la Zambarau linaa lina kemikali muhimu Ambazo ni anthocyanins na Raffinose
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Zambarau
Nishati = 60kcl
Jumla ya mafuta = 0.2g
Kabohaidreti = 16g
Protini = 0.3g
Maji = 83.3g
Madini yanayopatikana kwenye Zambarau zenye Gramu 100
Madini chuma = 0.19mg
Kalishiamu = 19mg
Magineziamu = 15mg
Fosifolasi = 17mg
Potashiamu = 79mg
Sodiamu = 14mg
Vitamini zinazopatikana kwenye Zamabarau zenye gramu 100
Vitamini B1 = 0.006mg
Vitamini B2 = 0.012mg
Vitamini B3 = 0260mg
Vitamini B5 = 0.061mg
Vitamini B6= 3mcg
Vitamini C = 14.3mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa tunda la Zambarau
Huimariaha afya na kuzuia magonjwa ya kinywa
Huimarisha moyo na kuzuia shinikizo la juu la damu
Huimarisha kiwango cha sukari mwilini na kuzuia ugonjwa wa kisukari
Huimarisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
Huzuia kuharisha pamoja na kuzuia/kuua minyoo
Huzuia na hutibu kikohozi
Huimarisha afya ya ngozi
Imeboreshwa,
28 Januari 2022 13:16:30
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Java plum nutritional value. https://www.nutritionvalue.org/Java-plum%2C_raw%2C_%28jambolan%29_nutritional_value.html?size=100+g&utm_source=share-by-url. Imechukuliwa 9. 12. 2021
Chandrasekaran M, Venkatesalu V. Antibacterial and antifungal activity of Syzygium jambolanum seeds. J Ethnopharmacol. 2004 Mar;91(1):105-8. doi: 10.1016/j.jep.2003.12.012. PMID: 15036477. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/15036477/. Imechukuliwa 9 .12. 2021
Sharma SB, Nasir A, Prabhu KM, Murthy PS, Dev G. Hypoglycaemic and hypolipidemic effect of ethanolic extract of seeds of Eugenia jambolana in alloxan-induced diabetic rabbits. J Ethnopharmacol. 2003;85:201–206. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC3609276/. Imechukuliwa 9. 12. 2021