top of page

Majina ya dawa ya kibiashara

Cifran CT

Cifran CT

Ni dawa yenye muunganiko wa Ciprofloxacin na Tinidazole ambayo hutibu magonjwa ya mfumo wa uzazi wa mwanamke na mengine kutokana na maambukizi ya bakteria na protozoa wanaodhuriwa na dawa.

Doxy 200 ni dawa gani?

Doxy 200

Doxy 200 ni jina la kibiashara la dawa ya kuua bakteria jamii ya tetracycline inayofahamika kama doxycycline ambayo hutumika kutibu maradhi yanayosababishwa na bakteria.

Doxy 100 ni dawa gani?

Doxy 100

Doxy 100 ni jina la kibiashara la dawa ya kuua bakteria jamii ya tetracycline inayofahamika kama doxycycline ambayo hutumika kutibu maradhi yanayosababishwa na bakteria.

Doxlin LB ni dawa gani?

Doxlin LB

Doxlin LB ni jina la kibiashara la dawa inayofahamika kama doxycycline ambayo hutumika kutibu maradhi yanayosababishwa na bakteria.

Doxlin ni dawa gani?

Doxlin

Doxlin ni jina la kibiashara la dawa ya kuua bakteria iliyo kwenye kundi la tetracycline na hufahamika pia kama doxycycline.

Claranta ni nini?

Claranta

Claranta ni jina la kibiashara la dawa ya kuua bakteria jamii ya macrolide inayojulikana kama clarythromycin.

bottom of page