Azicure ni jina la kibiashara la dawa inayojulikana kama Azithromycin. Dawa hii ipo katika kundi la macrolide na hutumika kutibu magonjwa mbali mbali kama vile magonjwa ya zinaa, UTI, nimonia nk.
Omesk ni jina la kibiashara la dawa inayojulikana kama omeprazole, dawa na hutumika kutibu magonjwa mbali mbali yanayosababishwa na uzalishwaji mwingi wa tindikali tumboni kama vile vidonda vya tumbo nk.