top of page
Kamusi Tiba ya ULY CLINIC
p.r.n kirefu chake ninini?
p.r.n katika cheti cha dawa na kwenye tiba ni kifupisho cha neno la Kilatini ‘pro re nata' lenye maana ya ‘tumia pale inapolazimu’
Katika cheti cha dawa, kutumia kifupisho p.r.n humaanisha dawa hiyo haijapangiwa muda maalumu wa kutumika, mgonjwa atapaswa kutumia dawa pale endapo anapata dalili tu.
bottom of page
