top of page
Kamusi Tiba ya ULY CLINIC
Catabolism
Catabolism ni neno tiba linalofahamika kiswahili kama Katabolizimu ni sehemu ya mchakato wa umetaboli inayohusika na uvunjaji wa kampaundi au molekyuli kubwa kuwa molekyuli ndogo. Katika hatua hii, mwili hutoa nishati kwa kuvunja Glukosi → kutoa nishati kwa seli, Mafuta → kutoa nishati iliyohifadhiwa na Protini → kuzalisha molekyuli ndogo zinazotumiwa na mwili
bottom of page




