top of page

Kamusi Tiba ya ULY CLINIC

Insulinoma

Insulinoma

Insulinoma ni nini kwa kiswahili?

Irritation

Irritation

Irritation ni nini kwa kiswahili?

Ishara ya Ortolani, Ortolani Sign

Ishara ya ortolani

Ishara ya Ortolani hufahamika pia kwa lugha nyingine ya Ortolani Sign ni kipimo cha uchunguzi wa mtoto mchanga kinachotumika kubaini nyonga iliyotenguka tayari lakini inaweza kurekebishwa katika tatizo la kuzaliwa la nyonga inayoteguka.

Jina asili la dawa

Jina asili la dawa

Ni jina lililokubalika na kutumika kimataifa kama jina halisi la dawa.

Jina la kibiashara la dawa

Jina la kibiashara la dawa

Jina la kibiashara la dawa ni jina la dawa lililopewa na mtengenezaji.

bottom of page