top of page

Kamusi Tiba ya ULY CLINIC

Kirusini

Kirusini

Ni neno la kitiba linalomaanisha kimelea jamii ya kirusi kinachosababisha homa ya kirusini, virusi hivyo ni kirusini A, B, C, D na kirusini E

Inivipele

Inivipele

Ni neno tiba linalomaamisha ini kuwa na upele kutokana na sababu mbalimbali ambapo sababu kuu inayofahamika ni homa ya virusi vya ini na matumizi ya pombe ya kupindukia.

aflatoxin, aflatoksin

Sumu ya mazao

Huzalishwa na fangasi jamii ya Aspergillus katika mazao kama mahindi, karanga n.k. utumiaji wa vyakula vyenye sumu hii husababisha kichefuchefu, kutapika, maumivu ya tumbo, degedege na saratani.

Kitovu cha mtoto

Kitovu cha mtoto

Kitovu cha mtoto ni nini?

Manii

Manii

Manii ni nini?

bottom of page