Ni uviumbe usio saratani, hutokea endapo wakati wa uumbaji uengenezaji wa seti za jeni za baba kwenye yai lililochavushwa zimekuwa nyingi kuliko kawaida, matokeo yake ni kutengeneza vijifuko vya mviringo vyenye mwonekano wa zabibu.
Ni tundu au mfereji uliojengwa kwa misuli, unaounganisha sehemu ya nje ya mfumo wa uzazi wa mwanamke na mlango wa kizazi(shingo ya kizazi. Uke huwa sehemu ya njia ya uzazi na pia ni njia ambayo damu ya hedhi hupitia kutoka kwenye kizazi kwenda nje ya mwili.