top of page

Kamusi Tiba ya ULY CLINIC

Uvimbe joto

Uvimbe joto

Ni neno la kiswahili lenye maana ya uvimbe wa saratani, uvimbe unaoweza kutokea sehemu yoyote ile ya mwili kama ulimi, matiti, shingo ya kizazi, utumbo, koo .n.k.

Uvimbe wa umio (Esophageal tumor) ni nini?

Uvimbe wa umio

Uvimbe wa umio ni ukuaji usio wa kawaida wa seli ndani ya umio unaoweza kusababisha ugumu wa kumeza, hisia ya chakula kukwama na kupungua uzito. Uchunguzi wa mapema kwa kutumia endoscopy na biopsy ni muhimu ili kubaini aina ya uvimbe na kuanza matibabu yanayofaa.

Uwezo wa spasho

Uwezo wa Spasho

Ni uwezo wa mtu kuona na kuelewa uhusiano wa vitu na kutumia uhusiano huo kutengeneza au kubadilisha vitu vilivyoona.

VVU

VVU

Hutumika kama kifupisho cha neno Virusi Vya UKIMWI.

Vaginal Bleeding, Postmenopausal

Vaginal Bleeding, Postmenopausal

Vaginal Bleeding, Postmenopausal ni nini kwa kiswahili?

bottom of page