Uti wa mgongo ulio wazi au mgongo wazi kwa jina jingine hufahamika kama Spinal bifida ni hali ya mtoto kuzaliwa na uti wa mgongo ulio wazi kutokana na madhaifu ya kutokufunga vizuri kwa mifupa ya uti wa mgongo.
Zaidi ya asilimia 75 ya wanawake waliovunja ungo hupata dalili na ishara za kuingia hedhi kama vile kukasirika kirahisi, kuvimba na msongo wa mawazo. Kama una dalili kali au zinazodumu, wasiliana a daktari kwa ushauri.
Kuwa na mkojo kidogo wenye kiasi kikubwa cha calcium, oxalate na uric acid, matumizi ya dawa aina fulani na kula kemikali ya melamine kutoka kwenye sahani za mifupa, hutengeneza mawe ndani ya figo.