Sehemu hii utasoma kuhusu hali na magonjwa mbalimbali
Kuvimba tonsil
Kuvimba kwa tonsil kunakofahamika kama tonsillitis mara nyingi husababishwa na mwitikio wa tezi kwkenye vimelea wanaojaribu kuingia mwilini kupitia kinywa, pua na masikio.
Saratani ya tezi dume ni marachache kugundulika kwa wanaume walio chini ya miaka 40 na pia hutokea marachache kwa wanaume wenye umri chini ya miaka 50.