top of page

Shinikizo la damu

Matibabu ya shinikizo la juu la damu

Matibabu ya shinikizo la juu la damu

Matibabu ya shinikizo la juu la damu huwa ya muda mrefu. Dakitari anaweza kuamua kukuanzishia matibabu kulingana na kiwango cha shinikizo la damu na kukushauri kubadilisha mfumo wa maisha.

Vipimo kwa mgonjwa mwenye shinikizo la damu la juu

Vipimo kwa mgonjwa mwenye shinikizo la damu la juu

Vipo vipimo vya aina nyingi na hutegemea dalili ulizonazo lakini vipimo hivi huweza kufanyika;
• Kipimo cha kupima shinikizo la damu la juu
• Kipimo cha mkojo au damu kuangalia kazi ya figo na ini na vitu vingine
• Kipimo cha mionzi (x-ray)

Visababishi vya shinikizo la juu la damu

Visababishi vya shinikizo la juu la damu

Haipatensheni ya sekondari husababishwa na magonjwa malimbali kama vile magonjwa ya figo, magonjwa ya mishipa ya damu, mabadiliko ya vichochezi vya mwili n.k

Hatua za shinikizo la damu la juu

Hatua za shinikizo la damu la juu

Shinikizo la juu la damu limegawanywa kwenye makundi mbalimbali yanayotegemea kiwango cha shinikizo la damu.

Aina za shinikizo la damu la juu

Aina za shinikizo la damu la juu

Shinikizo la juu la damu hugawanywa katika la awali (lisilo na kisababishi cha moja kwa moja) na la sekondari (lenye chanzo kinachojulikana). Shinikizo kali sana (>180/120) linaweza kuwa hali ya tiba ya haraka au dharura, ambapo dharura huhitaji matibabu ya haraka sana ili kuzuia madhara kewnye ogani.

bottom of page