top of page

Vidokezo vya Afya

Kutokwa damu baada ya kutoa mimba kwa dawa

Kutokwa damu baada ya kutoa mimba kwa dawa

Makala hii inaelezea kwa kina mwenendo wa kutokwa damu baada ya kutumia dawa ya kutoa mimba, ikiwa ni pamoja na muda, kiasi, sifa za damu na mabonge, pamoja na dalili hatarishi zinazohitaji uangalizi wa daktari. Pia inatoa rejea za kitaalamu na taarifa kuhusu hatari ya kupata mimba mara baada ya kutoa mimba.

Kutokwa damu wakati wa ujauzito ni dalili  ya hatari

Kutokwa damu wakati wa ujauzito ni dalili ya hatari

Kutokwa na damu ukeni wakati wa ujauzito ni moja ya dalili hatari kwenye ujauzito wako, endapo unatokwa damu, wasiliana na daktari wako haraka uwezavyo kwa uchunguzi ushauri na tiba.

Kutolewa ovari mwanzoni mwa ujauzito

Kutolewa ovari mwanzoni mwa ujauzito

Kabla ya siku ya 60 ya ujauzito endapo ovari zote zitaondolewa kwa upasuaji itapelekea kufa na kufyonzwa kwa kijusi kwenye mwili wa mama.

Kuwashwa njia ya haja kubwa

Kuwashwa njia ya haja kubwa

Mabaki ya uchafu kwenye njia ya haja kubwa, huchangia kwa kiasi kikubwa kuwashwa tundu la haja kubwa na maambukizi kwenye mfumo wa mkojo. Jikinge kwa kujifunza namna sahihi ya kujisafisha, anza sasa.

Kuyeyusha mawe kwenye njia ya mkojo

Kuyeyusha mawe kwenye njia ya mkojo

Sharubati iliyotengezwa kwa mchanganyiko wa chungwa, limao na boga huwa na ufanisi katika kuzuia na kuyeyusha vijimawe kwenye njia ya mkojo mfano figo na kibofu cha mkojo.

bottom of page