top of page

Vidokezo vya Afya

Njia za kuongeza damu kwa watoto wa chini ya miaka 3

Njia za kuongeza damu kwa watoto wa chini ya miaka 3

Kuongeza kiwango cha damu kwa watoto chini ya miaka 3 kunahitaji mbinu salama na zinazofaa. Upungufu wa damu mara nyingi husababishwa na upungufu wa madini ya chuma, hivyo kuongeza madini haya ni njia mojawapo muhimu.

Nyoa sehemu za siri bila kupata vipele na muwasho

Nyoa sehemu za siri bila kupata vipele na muwasho

Ukitumia njia sahihi kunyoa sehemu za siri utaepuka kupata vipele na muwasho, baadhi ya mambo ya kuzingatia ni kutotumia kiwembe tupu, kutonyoa mara kwa mara na kutotumia kiwembe butu.

Osha na chemsha mayai kujikinga na Taifod

Osha na chemsha mayai kujikinga na Taifod

Viumbe jamii ya ndege wenye maambukizi ya kimelea cha ‘salmonella’ kinachosababisha taifodi, huzalisha mayai yenye vimelea hao. Hata hivyo pia yai huweza kubeba vimelea kwa nje endapo litagusa kinyesi chenye vimelea. Osha na chemsha mayai yako kuepuka maambukizi hayo

Oxytocin na Prolactin huongezeka kwenye damu baada ya kujifungua

Oxytocin na Prolactin huongezeka kwenye damu baada ya kujifungua

Baada ya kujifungua, kiwango cha homoni estrogen na progesterone hupungua, wakati huo homoni prolactin na oxytocin huongezeka zaidi ili kuongeza uzalishaji wa maziwa na kufanya kizazi kirejee kwenye umbo lake asilia.

Panado kwa watoto

Panado kwa watoto

Panado, dawa yenye kiini cha acetaminophen ni maarufu sana kutuliza maumivu ya jeraha, tumbo, sikio na homa kwa watoto. Kama haipatikani katika mazingira yako, tumia ibuprofen kama mbadala.

bottom of page