top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

Dkt. Mangwella S, MD

31 Oktoba 2026, 15:23:43

Kwa nini dalili ya kuwashwa pua na masikio na kukohoa huwa mbaya zaidi asubuhi?

Jibu kwa ufupi


Jibu kwa ufupi: Vumbi la kitanda + cortisol kuwa chini usiku + makamasi kutiririka kooni. Fua matandiko kwa maji ya moto kila wiki, steroid ya puani, maji ya chumvi. Mluzi kifuani – daktari. Soma Mafua ya mzio.



Maelezo


Kwa nini asubuhi


  • Vumbi la godoro na mito.

  • Cortisol chini usiku.

  • Makamasi kutiririka kooni.

  • Hewa baridi/kavu ya alfajiri.


Tiba (kwa ushauri)



Nini cha kufanya


  • Fua mashuka na foronya kila wiki kwa maji ya moto, anika juani.

  • Funika godoro na mto.

  • Wanyama nje ya chumba.

  • Fungua dirisha mchana; usafi wa kitambaa chenye unyevu.

  • Feni/AC – safisha vichujio mara kwa mara.

  • Lala kichwa juu kidogo.


Dalili za hatari


Hospitali haraka ukiwa na:


  • Kupumua kwa shida, mluzi.

  • Kuvimba uso, midomo.

  • Homa kali na maumivu ya uso.


Lini umwone daktari


  • Dalili kila siku zaidi ya wiki 4.

  • Usingizi au kazi zinaathirika.

  • Masikio kuuma au kutosikia vizuri.

  • Kikohozi cha usiku – huenda pumu; soma Mzio wa mfumo wa juu wa hewa.


Maswali yanayoulizwa mara kwa mara


1. Kwa nini dalili hupungua mchana?

Umetoka kwenye vichochezi, cortisol iko juu.

2. Masikio kuwasha ni mzio?

Mara nyingi ndiyo.

3. AC husaidia?

Ikisafishwa – hupunguza unyevu na vumbi; chafu huongeza.

4. Steroid ya pua ni salama?

Ndiyo kwa matumizi ya muda mrefu ikielekezwa.

5. Mzio unaponyeshwa?

Hudhibitiwa; kwa wengine hupungua.

6. Vinywaji baridi huleta mzio?

Hapana, huwasha tu pua kwa wengine.

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 19:07:13

ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.

​

Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.

Rejea za mada hii:

  1. Bousquet J, et al. Next-generation Allergic Rhinitis and Its Impact on Asthma (ARIA) guidelines for allergic rhinitis based on GRADE and real-world evidence. J Allergy Clin Immunol. 2020;145(1):70–80.

  2. Smolensky MH, Lemmer B, Reinberg AE. Chronobiology and chronotherapy of allergic rhinitis and bronchial asthma. Adv Drug Deliv Rev. 2007;59(9–10):852–82.

  3. Wise SK, et al. International consensus statement on allergy and rhinology: allergic rhinitis – 2023. Int Forum Allergy Rhinol. 2023;13(4):293–859.

bottom of page