Wazazi wengi wanaweza kuandaa lishe ya watoto, lakini changamoto iliyopo ni kwamba hawajui wanatakiwa wawe na vitu gani vya msingi na kwa kiasi gani mchanganyiko unaotakiwa uwe.
Chanjo za watoto hutolewa katika vipindi mbalimbali mtoto anapozaliwa.chanjo hizi hutolewa kwa malemgo ya kumkinga mtoto na magonjwa mbalimbali yanayoweza kutisia uhai Wa mtoto.
Mtoto hukua katika nyanja za kimota, kijamii, ufahamu, hisia na lugha mfano kukaza shingo, kutambua sura ya mzazi, kushangaa, kushika maagizo na kutamka maneno.