top of page

Dalili na viashiria vya magonjwa mbalimbali

Unashauriwa kufuata ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala. Bofya picha au neno soma zaidi ili kuingia kwenye makala kwa undani.

Maumivu ya tumbo la juu ya kitovu

Maumivu ya tumbo la juu ya kitovu

Maumivu ya tumbo la juu ya kitovu yanaweza kusababishwa na matatizo mbalimbali mwilini ambayo asili yake inaweza kuwa sehemu maumivu yalipo au sehemu nyingine mbali na maumivu hayo.

Maumivu ya tumbo chini ya kitovu

Maumivu ya tumbo chini ya kitovu

Husababishwa na madhaifu katika via vilivyo karibu au mbali na kitovu, baadhi yake ni maambukizi kwenye via vya mfumo wa chakula, mfumo wa mkojo kama kibofu n.k. Wasiliana na daktari kufahamu kisababishi kwako.

Maumivu ya hedhi

Maumivu ya hedhi

Maumivu yoyote yale ya hedhi huamshwa na kemikali zinazoitwa prostaglandin na leukotriene katika mfumo wa uzazi ambazo ni kawaida kuzalishwa wakati wa yai kutengenezwa na kutoka kwenye ovari.

Muwasho wa ngozi kutokana na VVU

Muwasho wa ngozi kutokana na VVU

Harara kwenye ngozi inaweza kutokea kwa mtu yeyote yule, hata hivyo harara inayoambatana na muwasho au vipele mara nyingi huwa dalili ya kwanza ya VVU kwa watu walio wengi.

Kupiga miayo mingi

Kupiga miayo mingi

Kupiga miayo mingi mara nyingi hutokea kutokana na uchovu, msongo wa mawazo, au mwili kuhitaji oksijeni zaidi. Ili kupunguza tatizo hili, pata usingizi wa kutosha, pumua kwa kina unapohisi msongo, na pumzika mara kwa mara unapochoka.

bottom of page