top of page

Dawa

ULY CLINIC inakutahadharisha kuwa matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari yanaweza kuleta madhara makubwa mwilini mwako.

 

Siku zote wasiliana na daktari wako kwa elimu na ushauri wa dawa gani na namna ya kutumia dawa inayoendana na hali yako halisi kama mbadala ya kujichukulia hatua mwenyewe.

​

Bonyeza 'Soma zaidi ' kwenye dawa unayohitaji kuanza kusoma kuhusu dawa hiyo..

Dawa Tramadol

Dawa Tramadol

Tramadol ni dawa ya kupunguza maumivu ya wastani hadi makali inayofanya kazi kwenye mfumo wa neva, lakini ina hatari ya utegemezi na madhara ikiwa itatumika vibaya. Matumizi yake salama yanahitaji ushauri wa kitaalamu, kufuata dozi sahihi na kuepuka matumizi ya kiholela.

Dawa D17 na VVU

Dawa D17 na VVU

D17 (PEP) ni kinga ya dharura dhidi ya VVU baada ya tukio hatarishi, ikianza ndani ya saa 72 na kutumika kwa siku 28. Ufanisi wake hutegemea kuanza mapema, nidhamu ya dozi na ufuatiliaji wa kitaalamu.

Dawa Ivermectin

Dawa Ivermectin

Ivermectin ni dawa ya kuua minyoo na wadudu inayotumika kutibu magonjwa kama scabies, onchocerciasis, na minyoo ya tumbo. Hutumiwa chini ya uangalizi wa daktari, hasa kwa wajawazito, wagonjwa wa ini, na watoto wadogo.

Dawa Salbutamol

Dawa Salbutamol

Salbutamol ni dawa salama na bora kwa kutuliza dalili za matatizo ya kupumua kama pumu na bronkaitis. Inapaswa kutumika kwa tahadhari na kwa ushauri wa daktari ili kuepuka madhara yanayoweza kutokea.

Dawa Flibanserin

Dawa Flibanserin

Flibanserin (Addyi) ni dawa ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake walioko katika umri wa kuzaa wenye upungufu wa hamu ya ngono. Hufanya kazi kwa kusawazisha vichocheo vya ubongo vinavyohusiana na hisia za kingono.

Hujapata dawa unayotafuta?

 

Endapo hujapata dawa unayotafuta andika katika kiboksi kilichoandikwa  "Tafuta chochote hapa...." juu ya kurasa hii na endapo hujapata katika kiboksi hiko basi wasiliana na wafamasia wa ULY CLINIC maelezo zaidi kuhusu dawa.

​

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya linki ya 'Mawasiliano yetu' au 'Pata tiba' chini ya tovuti hii

bottom of page