top of page

Kamusi Tiba ya ULY CLINIC

Bronchitis

Bronchitis

Bronchitis ni nini kwa kiswahili?

Bronchogenic carcinoma

Bronchogenic carcinoma

Bronchogenic carcinoma ni nini kwa kiswahili?

Bronkolaitisi ni nini?

Bronkolaitisi

Ni hali ya kuvimba kwa mirija midogo ya hewa ndani ya mapafu, inayojulikana kama bronkioli. Kuvimba huku husababisha mirija hiyo kuwa nyembamba na kufanya hewa kuingia na kutoka kwenye mapafu kwa shida. Bronkolaitisi huonekana zaidi kwa watoto wadogo, hasa walio chini ya miaka 2, na mara nyingi husababishwa na maambukizi ya virusi.

Businnes name of drug

Businnes name of drug ni nini?

CD4 ni nini?

CD4

CD4 ni seli za kinga zinazosaidia mwili kujilinda dhidi ya magonjwa. Kadiri idadi ya CD4 inavyopungua, ndivyo kinga ya mwili inavyokuwa dhaifu.

bottom of page