Uboreshaji wa ujuzi- Tabibu
Nyumbani
Mgonjwa
Daktari
Elimu Afya
Pata tiba
Ujauzito
Mlo Afya
Mafunzo
Dawa A-Z
Blogi
Dalili & Viashiria A-Z
Magonjwa A-Z
Virutubisho A-Z
Mengineyo
Dawa bora ni zile zilizofikia viwango vya ubora, usalama na ufanisi wa kitaifa na kimataifa.
Ni dawa ya kwanza iliyopendekezwa kutibu tatizo fulani kutokana na tafiti na makubaliano ya nchi au taasisi fulani ya tiba.
Ni dawa ya pili iliyopendekezwa kutibu ugonjwa iwapo dawa ya uchaguzi wa kwanza ina mwingiliano na dawa zingine anazotumia mgonjwa, haikumtibu mgonjwa ,imeleta mzio kwa mgonjwa.
Dawa za cheti ni dawa ambazo mtoa dawa atazitoa kwa agizo la daktari kupitia cheti cha dawa.
Dawa zisizohitaji cheti ni dawa zinazoweza kununuliwa na mgonjwa bila cheti cha daktari baada ya mtoa dawa kuridhika na tatizo la mgonjwa.