top of page

Magonjwa na saratani mbalimbali

Sehemu hii utasoma kuhusu hali na magonjwa mbalimbali

Tezi za Tyson (Tyson glands)

Tezi za Tyson (Tyson glands)

Tezi za Tyson (Tyson glands) ni tezi ndogo za kawaida za mafuta zinazoonekana kama vipele vidogo vyeupe au vya njano, mara nyingi viwili au vichache, pembeni mwa kamba ndogo iliyo chini ya kichwa cha uume (frenulum). Si ugonjwa wa zinaa, haziambukizi wala si saratani, na hazihitaji matibabu.

Kufyonzwa kwa kichanga

Kufyonzwa kwa kichanga

Ni mchakato asili unaohusisha umeng’enyaji wa kichanga aliyekufa na ufyonzwaji wake kwenye mwili wa mama katika hatua yoyote ya ujauzito baada ya uumbaji wa ogani za mtoto kukamilika.

Homa ya uti wa mgongo (meningitis)

Homa ya uti wa mgongo (meningitis)

Homa ya uti wa mgongo (meningitis) ni maambukizi ya utando unaofunika ubongo na uti wa mgongo, mara nyingi kwa bakteria, virusi, fangasi au TB. Huanza kwa homa, maumivu makali ya kichwa, shingo kukakamaa na kutapika. Ya bakteria inaweza kuua ndani ya saa chache – nenda hospitali mara moja. Chanjo huzuia aina nyingi.

Homa ya mgunda (leptospirosis)

Homa ya mgunda (leptospirosis)

Homa ya mgunda (leptospirosis) ni ugonjwa wa bakteria unaoenezwa na mkojo wa panya na wanyama wengine kupitia maji na udongo. Huanza kama homa kali na maumivu makali ya misuli, na kwa wachache huharibu ini, figo na mapafu – hutibika kwa antibiotiki ukiwahiwa.

bottom of page