top of page

Majibu ya maswali mbalimbali

 Kikokotoo cha Siku za Hatari za Ujauzito

Kikokotoo cha Siku za Hatari za Ujauzito

Kikokotoo hiki huongeza uelewa wa afya ya uzazi kwa wanawake kwa kusaidia kupanga au kuepuka mimba kwa njia ya asili. Pia hutoa ushauri wa lishe na muda sahihi wa kushiriki tendo la ndoa ili kuongeza nafasi ya kupata ujauzito.

Kikokotoo cha Dozi za Dawa kwa Watoto

Kikokotoo cha Dozi za Dawa kwa Watoto

Kikokotoo hiki hurahisisha na kuharakisha hesabu za dozi sahihi za dawa kwa watoto kulingana na uzito wao, huku kikitoa maelezo mafupi ya matumizi na tahadhari. Ni zana muhimu inayoongeza usalama na kupunguza makosa katika utoaji wa dawa.

Kikokotoo cha Nishati: Ushauri wa kiasi cha ktumia kwa wiki na Mazoezi

Kikokotoo cha Nishati: Ushauri wa kiasi cha ktumia kwa wiki na Mazoezi

Kikokotoo cha kalori kinakusaidia kujua kalori unazohitaji kila siku kulingana na taarifa zako na lengo la afya, huku kikitoa mpango wa mlo na mazoezi unaoendana na malengo yako. Hii inakuwezesha kudhibiti uzito na kuboresha afya kwa njia salama na rahisi.

Kikokotoo cha hatari ya Kisukari: Ushauri wa chakula na Mazoezi

Kikokotoo cha hatari ya Kisukari: Ushauri wa Chakula na Mazoezi

Kikokotoo hiki hukadiria hatari yako ya kupata kisukari kwa kuzingatia umri, uzito, shinikizo la damu na mtindo wa maisha, kisha hukupa mpango wa mlo na mazoezi. Matokeo ni makadirio pekee; kwa uchunguzi kamili, wasiliana na daktari.

Je, Ukitoa ujauzito unaweza kupata maumivu ya matiti?

Je, Ukitoa ujauzito unaweza kupata maumivu ya matiti?

Wanawake wengi hupata maumivu ya matiti baada ya kutoa ujauzito kutokana na mabadiliko ya homoni, shughuli za tezi za maziwa, au msongo wa mawazo. Makala hii inaeleza kwa kina sababu, tiba na muda wa kuona daktari.

Kikokotoo cha Shinikizo la damu: Ushauri wa chakula na Mazoezi

Kikokotoo cha Shinikizo la damu: Ushauri wa chakula na Mazoezi

Kikokotoo cha Shinikizo la Damu hukokotoa hatari ya shinikizo la damu kwa kutumia vipimo vya systolic na diastolic. Pia hutoa mapendekezo ya chakula na mazoezi ya kila siku kwa wiki moja ili kusaidia kudhibiti shinikizo la damu.

Kikokotoo cha BMI na Ushauri wa  Mlo wa wiki

Kikokotoo cha BMI na Ushauri wa Mlo wa wiki

Kikokotoo hiki cha Kiswahili husaidia mtu kujua aina ya mlo wa wiki kulingana na uwiano wa uzito na urefu (BMI). Hii husaidia kupunguza, kuongeza au kudumisha uzito kwa afya bora.

Ulimi kushikwa kwa mtoto: Sababu, Dalili na Matibabu

Ulimi kushikwa kwa mtoto: Sababu, Dalili na Matibabu

Ulimi kushikwa (kamba chini ya ulimi) ni hali ya kuzaliwa nayo ambapo ulimi wa mtoto hushindwa kusogea vizuri kutokana na ukamba mfupi chini ya ulimi. Hali hii inaweza kuathiri unyonyaji, kuongea, na kazi nyingine za ulimi, lakini matibabu yake yanawezekana kwa njia rahisi na salama.

Kelele masikioni na kuziba sikio moja: Chanzo, Tiba na Nini cha kufanya

Kelele masikioni na kuziba sikio moja: Chanzo, Tiba na Nini cha kufanya

Kelele sikioni ni hali ya kusikia sauti kama mluzi, mvumo au sauti bila chanzo cha nje, na mara nyingi huambatana na kuziba sikio au kupungua kwa uwezo wa kusikia. Inaweza kusababishwa na matatizo ya masikio, nta, presha ya damu, dawa, au msongo wa mawazo, na tiba hutegemea chanzo kilichosababisha.

Mtoto wa miaka 2 hajaanza kuongea: Sababu, Uchunguzi na Mambo ya Kuzingatia

Mtoto wa miaka 2 hajaanza kuongea: Sababu, Uchunguzi na Mambo ya Kuzingatia

Kuchelewa kuongea kwa mtoto wa miaka 2 kunaweza kuwa dalili ya matatizo mbalimbali ya maendeleo ya ubongo, kusikia au mazingira. Makala hii inaeleza sababu, uchunguzi, ushauri na hatua za kuchukua kwa mzazi au mlezi.

Koo kuwaka moto mpaka masikioni: Sababu, Uchunguzi na Matibabu?

Koo kuwaka moto mpaka masikioni: Sababu, Uchunguzi na Matibabu?

Maumivu ya koo yanayoenea hadi masikioni huashiria uwezekano wa maambukizi kwenye koo, tonsils au sehemu ya nyuma ya pua. Hali hii huweza kuambatana na homa kali na huweza kutibika vizuri kwa uchunguzi sahihi na tiba stahiki.

Vipele lulu kwenye uume: Je, ni Tatizo la Kiafya linalohitaji tiba?

Vipele lulu kwenye uume: Je, ni Tatizo la Kiafya linalohitaji tiba?

Vipele vya lulu kwenye uume si ugonjwa wala si ya kuambukiza. Ni hali ya kawaida ya ngozi ya uume isiyo na madhara ya kiafya na haitakiwi kutibiwa isipokuwa kwa sababu za kisaikolojia au urembo.

bottom of page