top of page
Virusi
Sehemu hii utajifunza kuhusu Virusi ambao wanaleta magonjwa mbalimbali kwa binadamu

Kirusi Hepatitis B
Kirusi cha Hepatitis B ni kirusi cha DNA kinachoshambulia seli za ini, kina uwezo wa kubaki mwilini kwa muda mrefu bila dalili na kusababisha uharibifu wa ini kama makovu na kusinyaa kwa ini (sirosisi) au saratani ya ini. Kirusi hiki huambukizwa hasa kupitia damu, ngono isiyo salama, na kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto wakati wa kujifungua.
bottom of page




