Ibandronate ni dawa kizazi cha tatu cha bisphosphonate yenye nitrogen inayotumika kukinga na kutibu magonjwa ya mifupa dhaifu kwa wanawake walio kwenye komahedhi.
Isosorbide mononitrate ni moja kati ya dawa inayotumika kutibu na kuzuia maumivu ya kifua (Angina) kwa wagonjwa wenye matatizo ya mishipa ya damu ya koronari