top of page

Dawa 02

Mhariri:

Dawa Zoledronic Acid

Zoledronic Acid ni dawa ya kizazi cha tatu cha bisphosphonate yenye nitrogen inayofanana na to ibandronic acid, minodronic acid, and risedronic acid, inatotumika kukinga na kutibu udhaifu wa mifupa kutokana na kuzidi kwakiwango cha kalisuam kutokana na saratani na ugonjwa wa paget.

Mhariri:

Dawa dydrogesterone

Dydrogesterone ni homoni ya kutengenezwa jamii ya progesterone inayotumika kwenye matibabu ya kurekebisha mzunguko wa hedhi, ugumba, kuzua kuharibika mimba na mengine.

Mhariri:

Dawa hydralazine

Hydralazine ni moja kati ya dawa inayotumika kushusha shinikizo la juu la damu na kuzuia magonjwa kama kiharusi, magonjwa ya moyo na figo. Inafanya kazi kwa kutanua mishipa ya damu

Mhariri:

Dawa minoxidil

Minoxidil ni moja kati ya dawa inayotumika kutibu magonjwa ya shinikizo la juu la damuna hivyo kuzuia magonjwa kama kiharusi, magonjwa ya moyo na figo.

Mhariri:

Dawa zinc

Huimarisha mfumo wa kinga ya mwili, hisia za kunusa na ladha ya chakula na pia huhusika kuponya vidonda kwenye utumbo, utengenezaji wa protini na DNA mwilini.

bottom of page