top of page

Homoni

Kurasa hii imeorodhesha homon mbalimbali zinazopatikana kwenye mwili wa binadamu

Haipothairoidizim (Upungufu wa Homoni ya Thairoidi)

Haipothairoidizim (Upungufu wa Homoni ya Thairoidi)

Haipothairoidizim ni hali ya tezi ya thairoidi kushindwa kuzalisha homoni za kutosha, jambo linaloathiri kimetaboliki, nishati na utendaji wa viungo mbalimbali vya mwili. Hutambuliwa kwa vipimo vya homoni na hutibiwa kwa kutumia homoni bandia kama levothyroxine, mara nyingi kwa ufuatiliaji wa maisha yote.

Estrone

Estrone

Estrone ni homoni inayozalishwa na ovari ,ni moja ya homoni yenye umuhimu sana kwa mwanamke bada ya komahedhi. Estron ipo kwenye kundi la homoni za oestrogens ambazo zipo nne estrone (E1), estradiol (E2), estriol (E3), and estetrol (E4 ).

Serotonin

Serotonin

Ni homoni inayofanya kazi nyingi sana mwili , homoni hii hujulikana kama homoni ya utulivu kwa sababu homoni hii huweza kuchochea mtu kuwa na utulivu.

Norepinephrine

Norepinephrine

Norepinephrine ni homoni inayojulikana kwa jina jingine la noradrenaline, homoni hii hufanya kazi kama homoni na nyurotransmita (mjumbe) wa kusafirisha taarifa za mfumo wa fahamu kati ya neva moja na nyingine.

bottom of page