top of page
Huduma ya kwanza
Katika sehemu hii utajifunza kuhusu huduma ya kwanza kwenye matukio mbalimbali ili uweze kuwa msaada pale itakapohitajika kabla wataalamu wa afya hawajafika kwenye tukio

Degedege kwa mtu mzima- Huduma ya kwanza
Malengo ya kutoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa mwenye degedege ni kumlinda asipate madhara wakati degedege limetokea. Watu wengi hawafahamu mambo sahihi na yasiyo sahihi kuwafanyia waliopatwa na degedege kwenye eneo la tukio, kusoma makala hii itakusaidia kufahamu mambo hayo ya muhimu.

Mdudu sikioni- Huduma ya kwanza
Mdudu kuingia masikioni ni jambo linaloweza kutokea kwa kila mtu. Muda muafaka huweza kuwa wakati umekaa mchana au wakati umelala usiku. Wadudu wanaoweza kuingia sikioni ni mbu, nzi, mende na wengine. Mdudu anaweza kuingia sikioni na akaishi muda mrefu au akafia ndani bila wewe kufahamu.
bottom of page



