Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
Dkt. Mangwella S, MD
31 Oktoba 2026, 15:23:43

Vipele kwenye Pumbu: Visababishi na Matibabu
Jibu kwa ufupi
Jibu kwa ufupi: Vingi ni Fordyce, sisti, vinyweleo au jasho – si hatari. Kuwasha sana usiku, malengelenge, vidonda au vinavyoenea – daktari. Usipake krimu za steroid kali. Soma Fangasi kwenye pumbu.
Maelezo
Si hatari
Fordyce – soma Fordyce.
Angiokeratoma.
Sisti za ngozi.
Vinyweleo, nywele ndani – soma Nywele kukua ndani.
Jasho.
Maambukizi
Krimu
Steroid kali – huharibu ngozi; soma Muwasho baada ya skindem.
Nini cha kufanya
Chupi za pamba, kavu.
Osha kwa sabuni laini, kausha vizuri.
Usikamue.
Punguza nywele kwa clipper.
Poda ya kukausha jasho.
Dalili za hatari
Hospitali haraka ukiwa na:
Uvimbe mkubwa wenye maumivu na homa.
Ngozi kuwa nyeusi/kufa (dharura nadra).
Maumivu makali ya korodani.
Lini umwone daktari
Vipele vinavyoongezeka au kuwasha sana usiku.
Malengelenge au vidonda.
Kinundu ndani ya korodani.
Krimu imeshindwa.
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
1. Vipele vyeupe vidogo kwenye pumbu?
Mara nyingi Fordyce – kawaida.
2. Vidoti vyekundu-zambarau?
Angiokeratoma – mara nyingi si hatari.
3. Kuwasha usiku?
Huweza kuwa upele – familia itibiwe.
4. Ni zinaa?
Si lazima; pima kama kuna malengelenge/vidonda.
5. Krimu ya mchanganyiko?
Hapana bila ushauri.
6. Nikamue sisti?
Hapana.
Imeandikwa:
2 Aprili 2026, 19:07:13
ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.
Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.
Rejea za mada hii:
Bolognia JL, Schaffer JV, Cerroni L, eds. Dermatology. 5th ed. Philadelphia: Elsevier; 2024.
Workowski KA, et al. Sexually transmitted infections treatment guidelines, 2021. MMWR Recomm Rep. 2021;70(4):1–187.
World Health Organization. Scabies (fact sheet). Geneva: WHO; 2023.

