top of page

Dawa

ULY CLINIC inakutahadharisha kuwa matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari yanaweza kuleta madhara makubwa mwilini mwako.

 

Siku zote wasiliana na daktari wako kwa elimu na ushauri wa dawa gani na namna ya kutumia dawa inayoendana na hali yako halisi kama mbadala ya kujichukulia hatua mwenyewe.

​

Bonyeza 'Soma zaidi ' kwenye dawa unayohitaji kuanza kusoma kuhusu dawa hiyo..

Dawa Clavam

Dawa Clavam

Ni jina la kibiashara la dawa inayojulikana kama amoxiclav, ambayo ni muunganiko wa dawa mbili yaani Amoxicilin na clavulanate potassium.

Tenoxicam

Tenoxicam

Ni dawa ya jamii ya NSAIDS inayotumika kutibu maumivu ya kiasi hadi ya watani sambamba na dalili na viashiria vya ugonjwa wa baridi yabisi na kusagika kwa maungio ya miguu.

Dawa bisacodyl

Dawa bisacodyl

Bisacodyl ni dawa kwenye kundi la dawa za kulegeza matumbo na kuongeza utoaji haja kubwa. Hutumika katika matibabu haja kubwa kwa shinda, haja ngumu na kusafisha utumbo mpana kwa muda.

Dawa clarithromycin

Dawa clarithromycin

Clarithromycin ni dawa ya antibayotiki kundi la macrolide inayotumika sana kutibu magonjwa mbalimbali kutokana na maambukizi ya bakteria wanaodhuriwa na dawa hii.

Dawa flucloxacillin

Dawa flucloxacillin

Flucloxacillin ni dawa ya antibayotiki kutoka kwenye kundi la penicillin inayotumika sana kutibu magonjwa ya ngozi na tishu laini kutokana na maambukizi ya bakteria wanaodhuriwa na dawa hii.

Hujapata dawa unayotafuta?

 

Endapo hujapata dawa unayotafuta andika katika kiboksi kilichoandikwa  "Tafuta chochote hapa...." juu ya kurasa hii na endapo hujapata katika kiboksi hiko basi wasiliana na wafamasia wa ULY CLINIC maelezo zaidi kuhusu dawa.

​

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya linki ya 'Mawasiliano yetu' au 'Pata tiba' chini ya tovuti hii

bottom of page