top of page

Dawa

ULY CLINIC inakutahadharisha kuwa matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari yanaweza kuleta madhara makubwa mwilini mwako.

 

Siku zote wasiliana na daktari wako kwa elimu na ushauri wa dawa gani na namna ya kutumia dawa inayoendana na hali yako halisi kama mbadala ya kujichukulia hatua mwenyewe.

​

Bonyeza 'Soma zaidi ' kwenye dawa unayohitaji kuanza kusoma kuhusu dawa hiyo..

Dawa Flucamox

Dawa Flucamox

Flucamox ni dawa jamii ya antibayotiki yenye muunganko wa Flucloxacillin na amoxycillin. Muunganiko huu huipa flucamox uwanja mpana zaidi wa kutibu magonjwa mbalimbali yanayosababishwa na bakteria wanaozuliwa na dawa hizo.

Dawa cefuroxime

Dawa cefuroxime

Ni antibayotiki ya kizazi cha pili cha cephalosporine inayotumika katika matibabu ya maradhi mbalimbali yanayosababishwa na bakteria wanaodhuriwa na dawa hii.

Dawa levamisole

Dawa levamisole

Ni dawa ya kutengenezwa kiwandani asili ya imidazothiazole na jamii ya anthelmintics iliyokuwa ikitumika kutibu maambukizi ya minyoo, bakteria na virusi kwa binadamu.

Vasograin

Vasograin

Vasograin ni dawa yenye mchanganyiko wa ergotamine tartrate, caffeine, paracetamol na prochlorperazine maleate inayotumika kuzuia na kutibu maumivu ya kichwa ya kipanda uso. Dawa hii hutolewa kwa kuandikiwa cheti na daktari.

Dawa cefexime

Dawa cefexime

Cefixime ni antibayotiki kizazi cha tatu cha cephalosporin. Hutumika kutibu maradhi mbalimbali kutokana na bakteria jamii ya gramu chanya na hasi.

Hujapata dawa unayotafuta?

 

Endapo hujapata dawa unayotafuta andika katika kiboksi kilichoandikwa  "Tafuta chochote hapa...." juu ya kurasa hii na endapo hujapata katika kiboksi hiko basi wasiliana na wafamasia wa ULY CLINIC maelezo zaidi kuhusu dawa.

​

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya linki ya 'Mawasiliano yetu' au 'Pata tiba' chini ya tovuti hii

bottom of page