top of page

Dawa

ULY CLINIC inakutahadharisha kuwa matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari yanaweza kuleta madhara makubwa mwilini mwako.

 

Siku zote wasiliana na daktari wako kwa elimu na ushauri wa dawa gani na namna ya kutumia dawa inayoendana na hali yako halisi kama mbadala ya kujichukulia hatua mwenyewe.

​

Bonyeza 'Soma zaidi ' kwenye dawa unayohitaji kuanza kusoma kuhusu dawa hiyo..

Dawa ya Albaconazole

Dawa ya Albaconazole

Albaconazole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyopo katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi linaloitwa Triazole.

Dawa ya Acrisorcin

Dawa ya Acrisorcin

Acrisorcin ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyopo katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Akrinol

Dawa ya Tioconazole

Dawa ya Tioconazole

Tioconazole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko katika kundi la dawa za antifangasi aina ya imidazole. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Vagistat 1.

Dawa ya Butenafine

Dawa ya Butenafine

Butenafine ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyopo katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi aina ya allylamine. Dawa hii huwa maarufu kwa majina ya lotrimin na mentax

Dawa ya Fenticonazole

Dawa ya Fenticonazole

Fenticonazole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko kundi la imidazole. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Gynoxin,Lomexin.

Hujapata dawa unayotafuta?

 

Endapo hujapata dawa unayotafuta andika katika kiboksi kilichoandikwa  "Tafuta chochote hapa...." juu ya kurasa hii na endapo hujapata katika kiboksi hiko basi wasiliana na wafamasia wa ULY CLINIC maelezo zaidi kuhusu dawa.

​

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya linki ya 'Mawasiliano yetu' au 'Pata tiba' chini ya tovuti hii

bottom of page