top of page

Dawa

ULY CLINIC inakutahadharisha kuwa matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari yanaweza kuleta madhara makubwa mwilini mwako.

 

Siku zote wasiliana na daktari wako kwa elimu na ushauri wa dawa gani na namna ya kutumia dawa inayoendana na hali yako halisi kama mbadala ya kujichukulia hatua mwenyewe.

​

Bonyeza 'Soma zaidi ' kwenye dawa unayohitaji kuanza kusoma kuhusu dawa hiyo..

Dawa Azilsartan

Dawa Azilsartan

Azilsartan ni dawa mojawapo ya kutibu shinikizo la juu la damu iliyopo kwenye kundi la dawa linaloitwa angiotensini II Risepta bloka. Dawa hii huwa maarufu kwa jina la Edarbi.

Olmesartan

Olmesartan

Olmesartan ni dawa ya kutibu shinikizo la juu la damu iliyo kwenye kundi la dawa linaloitwa angiotensini II risepta bloka.

Dawa Irbesartan

Dawa Irbesartan

Irbesartan ni dawa mojawapo ya kutibu shinikizo la juu la damu iliyopo kwenye kundi la dawa linaloitwa Angiotensini ii risepta bloka (ARBs). Dawa hii huwa maarufu kwa jina la Avapro.

Telmisartan

Telmisartan

Telmisartan ni dawa mojawapo ya kutibu shinikizo la juu la damu iliyopo kwenye kundi la dawa linaloitwa Angiotensini II risepta bloka (ARBs).Dawa hii huwa maarufu kwa jina la Micardis

Dawa Doxazosin

Dawa Doxazosin

Doxazosin ni aina ya dawa mojawapo ya kutibu shinikizo la juu la damu iliyoko katika kundi la dawa linaloitwa alfa bloka. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Cardura

Hujapata dawa unayotafuta?

 

Endapo hujapata dawa unayotafuta andika katika kiboksi kilichoandikwa  "Tafuta chochote hapa...." juu ya kurasa hii na endapo hujapata katika kiboksi hiko basi wasiliana na wafamasia wa ULY CLINIC maelezo zaidi kuhusu dawa.

​

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya linki ya 'Mawasiliano yetu' au 'Pata tiba' chini ya tovuti hii

bottom of page