top of page

Dawa

ULY CLINIC inakutahadharisha kuwa matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari yanaweza kuleta madhara makubwa mwilini mwako.

 

Siku zote wasiliana na daktari wako kwa elimu na ushauri wa dawa gani na namna ya kutumia dawa inayoendana na hali yako halisi kama mbadala ya kujichukulia hatua mwenyewe.

​

Bonyeza 'Soma zaidi ' kwenye dawa unayohitaji kuanza kusoma kuhusu dawa hiyo..

Dawa Enalapril

Dawa Enalapril

Enalapril ni dawa mojawapo ya kutibu shinikizo la juu la damu iliyo katika kundi la dawa linaloitwa angiotensini konventing enzaimu inhibita- ACEIs. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la jina la Vasotec

Dawa Chlorthalidone

Dawa Chlorthalidone

Chlorthalidone ni dawa mojawapo ya kutibu shinikizo la juu la damu pamoja na kuvimba kwa mwili kutokana na matatizo ya moyo, Ini na Figo. Dawa hii iliyopo kwenye kundi la dawa zinazoitwa Thiazide Diuretics, huwa maarafu kwa majina ya Hygroton,Thalitone na Chlorthalid.

Dawa Bumetanide

Dawa Bumetanide

Bumetadine ni dawa mojawapo ya kutibu kuvimba kwa mwili kutokana na magonjwa ya moyo na figo. Dawa hii ipo kwenye kundi la dawa zinazoitwa Loop Diuretics. Dawa hii huwa maarafu kwa majina ya Bumex na Burinex.

Dawa Captopril

Dawa Captopril

Captopril ni dawa mojawapo ya kutibu shinikizo la juu la damu iliyo katika kundi la dawa linaloitwa angiotensini konventing enzaimu inhibita- ACEIs. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la jina la Capoten

Dawa Bendroflumethiazide

Dawa Bendroflumethiazide

Bendroflumethiazide ni aina ya dawa iliyopo kwenye kundi la dawa linaloitwa Thayazaidi Dyuretiksi, dawa hii huuzwa katika jina la Aprinox na hupatikana katika mfumo wa kidonge. Hutumika kutibu shinikizo la juu la damu na mwili kujaa maji.

Hujapata dawa unayotafuta?

 

Endapo hujapata dawa unayotafuta andika katika kiboksi kilichoandikwa  "Tafuta chochote hapa...." juu ya kurasa hii na endapo hujapata katika kiboksi hiko basi wasiliana na wafamasia wa ULY CLINIC maelezo zaidi kuhusu dawa.

​

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya linki ya 'Mawasiliano yetu' au 'Pata tiba' chini ya tovuti hii

bottom of page