top of page

Majibu ya maswali mbalimbali

Je, ukiwa mjamzito unaweza kuendelea kupata hedhi kila mwezi kama kawaida?

Je, ukiwa mjamzito unaweza kuendelea kupata hedhi kila mwezi kama kawaida?

Hedhi ya kweli haitokei wakati wa ujauzito, lakini kuna hali nadra ambapo damu hutoka kwa mpangilio wa kila mwezi. Damu yoyote ukiwa mjamzito yahitaji uchunguzi wa haraka wa daktari.

Ute wa maziwa mgando bila harufu wala muwasho ukeni: Je kuna tatizo?

Ute wa maziwa mgando bila harufu wala muwasho ukeni: Je kuna tatizo?

Kutoka ute wa maziwa mgando bila harufu au muwasho unaweza kuwa wa kawaida au ishara ya awali ya fangasi. Hali ikidumu, ni vyema kufanyiwa uchunguzi wa kitaalamu.

Sunzua njia ya haja kubwa: Sababu, Tiba na namna ya kukabiliana na Hofu

Sunzua njia ya haja kubwa: Sababu, Tiba na namna ya kukabiliana na Hofu

Sunzua sehemu ya haja kubwa husababishwa na virusi vya HPV lakini hutibika kwa cream, laser au upasuaji. Tiba sahihi na msaada wa kihisia hutoa nafuu kamili bila kukata tamaa.

Asherman Sindrome: Kisababishi, Dalili na Uhalisia wa matibabu kwa miti shamba

Asherman Sindrome: Kisababishi, Dalili na Uhalisia wa matibabu kwa miti shamba

Asherman Sindrome husababishwa na makovu ndani ya kizazi, hasa baada ya kuharibika kwa mimba. Matibabu ya uhakika ni ya kitaalamu kupitia upasuaji mdogo kwa kamera inayoingia ndani ya kizazi, na miti shamba haina ushahidi wa tiba ya hali hii.

Kuwashwa wakati wa kukojoa kwa wanawake: Sababu, Tiba na Tahadhari

Kuwashwa wakati wa kukojoa kwa wanawake: Sababu, Tiba na Tahadhari

Kuwashwa wakati wa kukojoa kwa wanawake mara nyingi husababishwa na maambukizi au kemikali kali. Tiba sahihi hutegemea chanzo, hivyo ni muhimu kupata uchunguzi na ushauri wa daktari.

Vipele Fodisi: Chanzo, Dalili na Matibabu

Vipele Fodisi: Chanzo, Dalili na Matibabu

Vipele Fodisi ni vipele vidogo visivyo na maumivu vinavyotokea kwenye midomo, sehemu za siri, au maeneo mengine ya ngozi. Ingawa vinaweza kutia wasiwasi, si ugonjwa wa kuambukiza wala hatari kiafya.

Kwa nini mjamzito hutokwa na uchafu mweupe mzito ukeni?

Kwa nini mjamzito hutokwa na uchafu mweupe mzito ukeni?

Kutokwa na uchafu mweupe mzito wakati wa ujauzito ni hali ya kawaida inayoletwa na mabadiliko ya homoni. Hata hivyo, mabadiliko ya harufu, rangi au muundo yanaweza kuashiria maambukizi yanayohitaji uangalizi wa daktari.

Je, kuna aina ya funza wanaokuwa wadogo wanapogusana na ngozi ya binadamu?

Je, kuna aina ya funza wanaokuwa wadogo wanapogusana na ngozi ya binadamu?

Baadhi ya minyoo hujikunja na kuonekana kama wanapungua ukubwa wanapogusa ngozi ya binadamu. Hii ni tabia ya kujilinda, si kupungua halisi kwa ukubwa wa mwili wao.

Jinsi ya kuacha punyeto: Mwongozo wa Afya ya Akili na Mwili

Jinsi ya kuacha punyeto: Mwongozo wa afya ya akili na mwili

Punyeto inapotokea mara kwa mara hadi kuathiri afya ya akili, mahusiano au maadili, inahitaji kushughulikiwa. Kuacha kunahitaji kujitambua, kuepuka vichocheo, kuwa bize na kutafuta msaada wa kitaalamu inapobidi.

Muwasho njia ya haja kubwa: Chanzo, Dalili, na Matibabu

Muwasho njia ya haja kubwa: Chanzo, Dalili, na Matibabu

Muwasho sehemu ya haja kubwa unaweza kutulizwa nyumbani kwa kudumisha usafi wa upole, kutumia mafuta ya kutuliza, na kula lishe yenye nyuzinyuzi ili choo kisichubue ngozi. Ikiwa muwasho haupungui ndani ya siku 5–7, tafuta ushauri wa daktari.

Je, Korodani moja inauma na kuvimba? Sababu, Hatari na Unachopaswa Kufanya Mapema

Je, Korodani moja inauma na kuvimba? Sababu, Hatari na Unachopaswa Kufanya Mapema

Korodani moja kuuma na kuvimba kunaweza kusababishwa na maambukizi, majeraha, au hali ya dharura kama kinyingonga kwa korodani. Hali hii huhitaji uchunguzi wa haraka ili kuepusha madhara kama utasa au kupoteza korodani.

Kujisaidia choo Cheusi Kinachonata na Kizunguzungu: Sababu, Uchunguzi na Tiba

Kujisaidia choo Cheusi Kinachonata na Kizunguzungu: Sababu, Uchunguzi na Tiba

Kujisaidia choo cheusi kinachonata na kizunguzungu mara nyingi huashiria kutokwa damu kwenye mfumo wa juu wa chakula. Hali hii ni dharura ya kitabibu inayohitaji uchunguzi na matibabu ya haraka ili kuzuia upotevu mkubwa wa damu na madhara zaidi.

bottom of page