top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

Dkt. Sospeter M, MD

10 Juni 2020 14:35:23

Hatua za shinikizo la damu la juu
Hatua za shinikizo la damu la juu

Hatua za shinikizo la damu la juu

Haipatensheni imegawanywa kwenye makundi mengine mawili kulingana na kiwango cha shinikizo la damu.

Shinikizo la damu la kawaida ambalo

  • SBP/DBP 120/80 mmHg

Shinikizo la damu linalotaka kupanda (pre hyprtension)

  • SBP/DBP 120-139/80-90 mmHg

Shinikizo la damu la juu kundi la 1

  • 140-159/90-99

Shinikizo la damu la juu kundi la 2

  • SBP 160mmHg au zaidi na DBP kuwa 100mmHg au zaidi milimteter za mercury


Mgawanyo huo hutokana na vipimo viwili au zaidi vinavyopimwa wakati umeenda hospitali.

Soma zaidi namna ya kupima shinikizo la juu la damu.

Imeboreshwa,

6 Oktoba 2021 10:44:44

ULY Clinic inakushauri siku zote usichukue hatua yoyote ile inayoathiri afya yako bila kuwasiliana na daktari wako. 

Wasiliana na daktari wa ULY CLinic kwa kubonyeza 'Pata Tiba' au kutumia namba za simu chini ya tovuti hii kwa elimu suhauri na Tiba

Rejea za mada hii,

  1. Beckett  NS, Peters  R, Fletcher  AE,  et al; HYVET Study Group.  Treatment of hypertension in patients 80 years of age or older.  N Engl J Med. 2008;358(18):1887-1898.PubMedGoogle ScholarCrossref. Imechukuliwa 09.06.2020

  2. SHEP Cooperative Research Group.  Prevention of stroke by antihypertensive drug treatment in older persons with isolated systolic hypertension: final results of the Systolic Hypertension in the Elderly Program (SHEP).  JAMA. 1991;265(24):3255-3264. ArticlePubMedGoogle ScholarCrossref. Imechukuliwa 09.06.2020

  3. Institute of Medicine.  Clinical Practice Guidelines We Can Trust. Washington, DC: National Academies Press; 2011. http://www.iom.edu/Reports/2011/Clinical-Practice-Guidelines-We-Can-Trust.aspx. Imechukuliwa 09.06.2020

  4. Staessen  JA, Fagard  R, Thijs  L,  et al; The Systolic Hypertension in Europe (Syst-Eur) Trial Investigators.  Randomised double-blind comparison of placebo and active treatment for older patients with isolated systolic hypertension.  Lancet. 1997;350(9080):757-764.PubMedGoogle ScholarCrossref. Imechukuliwa 09.06.2020

  5. Hsu  CC, Sandford  BA.  The Delphi technique: making sense of consensus.  Pract Assess Res Eval. 2007;12(10). http://pareonline.net/pdf/v12n10.pdf. Accessed October 28, 2013.Google Scholar. Imechukuliwa 09.06.2020

  6. Institute of Medicine.  Finding What Works in Health Care: Standards for Systematic Reviews. Washington, DC: National Academies Press; 2011. http://www.iom.edu/Reports/2011/Finding-What-Works-in-Health-Care-Standards-for-systematic-Reviews.aspx. Imechukuliwa 09.06.2020

  7. https://www.uptodate.com/contents/high-blood-pressure-in-adults-beyond-the-basics?topicRef=4415&source=see_link. Imechukuliwa 10.06.2020

  8. https://www.uptodate.com/contents/high-blood-pressure-diet-and-weight-beyond-the-basics.Imechukuliwa 10.06.2020

  9. Hypertension. https://jamanetwork.com/journals/jama/fullarticle/1791497. Imechukuliwa 11.06.2020

  10. Dash Diet- 365 Days of Low Salt, Dash Diet Recipes For Lower Cholesterol, Lower Blood Pressure and Fat Loss Without Medication ( PDFDrive.com )

bottom of page