top of page

Imeandikwa na daktari wa ULY CLINIC

​

Madhara ya kutumia pombe pamoja na dawa za kutibu homa ya baridi (mafua)

​

Dawa nyingi za kutibu homa baridi ya mafua kutokana na virusi huwa na mchanganyiko wa dawa jamii ya anthistamine, dawa za kutuliza maumivu, dawa za kuzibua njia za hewa kichwani. Madhara ya kunywa dawa jamii hii na pombe huwa ni kulegea, kizunguzungu na hatari ya kunywa dozi kubwa kuliko kawaida.

​

Imeboreshwa 24.02.2020

​

Rejea zetu

NBF 2018

bottom of page