top of page

Imeandikwa na stafu wa ULY CLINIC

​

Dawa za kundi la kutibu tatizo la wasiwasi

​

Dawa hizi huwa na maudhi ya usingizi, endapo zitatumika pamoja na pombe huweza kuleta  hali kubwa ya usingizi au nusu kifo, au kifo kinaweza kutokea.

Dawa zilizo kundi hili baadhi ni lithium, dicalproex, lorazepam, alprozalam, diazepam, clonazepam

​

Imepitiwa 24.02.2020

​

Rejea

BNF 2018

bottom of page