top of page

Imeandikwa na daktari wa ULY CLINIC

​

Madhara ya kutumia dawa za kuyeyusha damu pamoja na pombe

​

Dawa za kuyeyusha damu zipo aina nyingi, dawa inayoitwa warfarin endapo itatumika pamoja na pombe inaweza kusababisha damu ikawa nyepesi sana kiasi cha mtu kutokwa na damu kila sehemu ya mwili iliyo wazi au kuwa na jeraha.

​

Imepitiwa 24.02.2020

​

Rejea 

BNF 2018

bottom of page