top of page

Imeandikwa na daktari wa ULY CLINIC

​

Dawa za kutibu maambukizi ya bakteria (antibayotik)

​

Dawa zifuatazo zinaweza kukusababishia hali kali ya kichefuchefu na kutapika, pia unaweza kupata madhara makali yatokanayo na mpambano kati ya dawa na pombe. Metronidazole, azithromycin, isoniazid, nitrofurantoin

​

Imeboreshwa  24.02.2020

​

Rejea 

BNF 2018

bottom of page