top of page
Soma zaidi madhara ya pombe kutumiwa na;
​
-
Dawa za kutibu tatizo la huzuni iliyopitiliza
-
Dawa za kutibu tatizo la huzuni iliyopitiliza
-
Dawa za kutibu tatizo la kutotulia na kuwa na pilika nyingi (ADHD)
-
Dawa ya kuyeyusha damu iitwayo kumarini (coumarin) au wafarini(warfarin)
Imeandikwa na daktari wa ULY CLINIC
​
Madhara ya kutumia dawa za kisukari pamoja na pombe
​
Dawa hizi zikitumika pamoja na pombe huweza kusababisha kushuka Zaidi kwa kiwango cha sukari mwilini, kutokwa na jasho, kichefuchefu na kutapika, maumivu ya kichwa, mapigo ya moyo ya haraka, kubadilika kwa shinikizo la damu
Baadhi ya dawa hizi ni Insulin, metformin, glyburide na glipizide.
​
Imeboreshwa 24.02.2020
​
Rejea za mada
1.BNF 2018
bottom of page