top of page

Imeandikwa na daktari wa ULY CLINIC

 

Madhara ya kutumia pombe na dawa za kutibu tatizo la kukosa usingizi

Dawa hizi kwa kawaida huwa na maudhi ya kuleta hali ya kusinzia ambapo ndo msingi wa matibabu ya tatizo la kukosa usingizi. Endapo zitatumiwa pamoja na pombe zinaweza kusababisha dalili za

Kusinzia, Kizunguzungu, Kuhisi huzuniko kuu, Kushindwa kutembea, Kuharibiwa kwa ini, Madhara makubwa kwenye moyo  mfano mapigo ya moyo kwenda ndivyo sivyo na kuruka kwa mapigo la moyo

 

Dawa kwenye kundi hili zipo nyingi lakini mfano wake ni lithium, dicalproex, lorazepam, alprozalam, diazepam, clonazepam

Imepitiwa 24.02.2020

Rejea

BNF 2018

bottom of page