top of page

Imeandikwa na daktari wa ULY CLINIC

Madhara ya kutumia pombe pamoja na dawa za jamii ya nitrate na kushusha shinikizo la damu

Dawa hizi zikitumika pamoja na pombe zinaweza kusababisha, kizunguzungu, kuzimia, kuwa kuwa kwenye hali ya kulegea na kutojielewa, mapigo ya moyo yasiyoeleweka na ya haraka

Imeboreshwa 24.02.2020

Rejea

BNF 2018

bottom of page