top of page

Imeandikwa na daktari wa uly clinic

 

 

Pozi sahihi la kulala mama mjamzito

​

​

Utangulizi

​

Kipindi cha ujauzito haswa pale mama anapoingia katika kipindi cha miezi mitatu hadi sita ama anapoanza miez mitatu ya ujauzito, mara nyingi huhisi uzito katika tumbo lake. Binadamu katika tumbo lake kuna mishipa ya damu mikubwa iitwayo veins na atery ambyo pia hutumika kupeleka ama kutoa damu yenye virutubisho na hewa safi na uchafu kati ya mama na mtoto. Uzito wa mtoto huweza kugandamiza mishipa hiyo na kusababisha kupugnua  usafilisaji wa virutubisho na gesi safi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, na pia kuzuia usafilishaji wa gesi chafu na uchafu mwiingine kutoka kwa mtoto kwenda kwa mama kwa ajili ya kutolewa nnje ya mwili. Hivyo madhara ya mtoto kutokuwa vyema ama hata kupoteza maisha kwa mtoto kunaweza kutokea.

 

Ni upande gani mama anatakiwa kulalia?

​

Kwa kawaida mishipa mikubwa ya artey imepita upande wa kushoto wa tumbo, mishipa hii huwa na misuli hivyo hata ikigadamizwa...

 

huweza kudunda na kupitisha damu kirahisi, Mishipa iliyopo kushoto mwa tumbo huwa haina misuli ya kutosha na hivyo endapo itagandamizwa na kitu kizito kama mtoto itaweza kuleta matatizo katika mzunguko wa damu wa mama na mtoto. Hivyo pozi sahihi la kulala kwa mama mjamzito ni kulalia ubavu wa kushoto

​

​

Soma zaidi makala ya namna ya kuishi na ujauzito na kupata matokeo mazuri kwa kubonyeza hapa

​

​

Imeboreshwa mara ya mwisho 7.07.2020

​

​

ULY Clinic inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchuku hatua yoyote ile inayohusu afya yako.

​

Wasiliana na daktari wa ULY Clinic kwa elimu zaidi na Tiba kwakubonyeza Pata Tiba au kupiga namba za simu chini ya tovuti hii.

​​

Bonyeza kusoma makala zingine zaidi kuhusu;

​

bottom of page