top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

ULY CLINIC

Kupoteza uwezo wa kuona
shahawa-zenye-damu-ulyclinic-compressor.

6 Aprili 2026, 12:15:28

Kupoteza uwezo wa kuona

Kutokuona au kuwa kipofu ni hali ya kupoteza uwezo wa kuona vizuri kutokana na sababu za kifiziolojia au zinazo husiana na mishipa ya neva.


Vitu vinavyo weza msaidia mtu kuona mfano maumbo ya vitu vilivyo mbali au ya karibu ni pamoja na glasi za macho zenye lenzi za bandia na marekebisho ya upasuaji kwa jicho.


Visbabishi


  • Kulege kwa mishipa ya siliari inayo shika lenzi ya jicho

  • Glaucoma -husababishwa na shinikizo kubwa kutoka kwa maji ndani ya jicho

  • Kuumia kwa macho

  • Maambukizi kwenye macho

  • Hali uzee [umri kuwa mkubwa]

  • Kupigwa na mionzi mikali ya mwanga mfano mionzi ya jua

  • Ugonjwa wa trakoma

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.

Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 15:59:23

Soma dalili zingine Zaidi kwa kubonyeza herufi ya mwanzo hapa chini

​

[A] [B] [C] [D] [E] [F] [G] [H] [I] [J] [K] [L] [M] [N] [O] [P] [Q] [R] [S] [T] [U] [V] [W] [X] [Y] [Z] [Z] [#]

Rejea za mada

1. Adams, A.J., Wong, L.S., Wong, L., and Gould, B. (1988). Visual acuity changes with age: Some new perspectives. American Journal of Optometry and Physiological Optics , 65(5), 403-406. [PubMed]

2. Adams, R.J., and Courage, M.L. (1996). Monocular contrast sensitivity in 3-to 36-month-old human infants. Optometry and Vision Science , 73(8), 546-551. [PubMed]

3. Adams, R.J., and Courage, M.L. (1993). Contrast sensitivity in 24- and 36-month-olds as assessed with the contrast sensitivity card procedure. Optometry and Vision Science , 70(2), 97-101. [PubMed]

bottom of page