top of page

Dawa

ULY CLINIC inakutahadharisha kuwa matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari yanaweza kuleta madhara makubwa mwilini mwako.

 

Siku zote wasiliana na daktari wako kwa elimu na ushauri wa dawa gani na namna ya kutumia dawa inayoendana na hali yako halisi kama mbadala ya kujichukulia hatua mwenyewe.

Bonyeza 'Soma zaidi ' kwenye dawa unayohitaji kuanza kusoma kuhusu dawa hiyo..

Dawa ya Norethisterone

Dawa ya Norethisterone

Norethisterone ni dawa ya kusanisiwa kizazi cha pili cha progesterone, hufanana na progesterone inayotengenezwa mwilini na huhusika kutibu matatizo ya hedhi yanayosababishwa na kuvurugika kwa msawazo wa homoni mwilini au saratani ya kizazi.

Dawa ya Flucytosine

Dawa ya Flucytosine

Flucytocine ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Ancobon.

Dawa ya Voriconazole

Dawa ya Voriconazole

Voriconazole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Vfend.

Dawa ya Miconazole

Dawa ya Miconazole

Miconazole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi. Dawa hii iliyo maarufu pia kwa jina la Oravig huwa na rangi nyeupe japo huwa inatofautiana na mara nyingi utegemea aina ya kiwanda kinachotenegeneza.

Dawa ya Itraconazole

Dawa ya Itraconazole

Itraconazole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko katika kundi la dawa linaloitwa Triazole. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Sporanox.

Dawa ya Terconazole

Dawa ya Terconazole

Terconazole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi aina ya Triazole. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Terazol

Dawa ya Ketoconazole

Dawa ya Ketoconazole

Ketoconazole ni dawa jamii ya antifangasi inayotumika kukinga na kutibu maradhi yanayosababishwa na fangasi.

Dawa ya Fluconazole

Dawa ya Fluconazole

Fluconazole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Diflucan, hutibu fangasi wa juu ya ngozi na waliosambaa kwenye damu.

Dawa ya Clotrimazole

Dawa ya Clotrimazole

Clotrimazole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi.

Dawa ya Phentolamine

Dawa ya Phentolamine

Phentolamine ni dawa mojawapo ya kutibu shinikizo la juu la damu Iliyopo kwenye kundi la dawa linaloitwa Alpha Risepta Antagonisti.

Dawa ya Indoramin

Dawa ya Indoramin

Indoramin ni dawa mojawapo ya kupunguza dalili za tezi dume, dawa hii husinyaza misuli ya kibofu cha mkojo na tezi dume ili kumwezesha mtu kukojoa bila shida. Hujulikana kwa jina jingine la Flomax.

Phenoxybenzamine

Phenoxybenzamine

Phenoxybenzamine ni dawa mojawapo ya kushusha shinikizo la juu la damu Iliyo kwenye kundi la Alpha Risepta Antagonisti.

Hujapata dawa unayotafuta?

 

Endapo hujapata dawa unayotafuta andika katika kiboksi kilichoandikwa  "Tafuta chochote hapa...." juu ya kurasa hii na endapo hujapata katika kiboksi hiko basi wasiliana na wafamasia wa ULY CLINIC maelezo zaidi kuhusu dawa.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya linki ya 'Mawasiliano yetu' au 'Pata tiba' chini ya tovuti hii

bottom of page