top of page

Dawa

ULY CLINIC inakutahadharisha kuwa matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari yanaweza kuleta madhara makubwa mwilini mwako.

 

Siku zote wasiliana na daktari wako kwa elimu na ushauri wa dawa gani na namna ya kutumia dawa inayoendana na hali yako halisi kama mbadala ya kujichukulia hatua mwenyewe.

Bonyeza 'Soma zaidi ' kwenye dawa unayohitaji kuanza kusoma kuhusu dawa hiyo..

Meloxicam

Meloxicam

Ni dawa kwa ajili ya kutuliza maumivu makali ya mwili na maungio kwa kupunguza kiwango cha homoni inayoleta madhara hayo mwilini. Dawa hipo kwenye kundi la dawa jamii NSAIDS.

Naproxen

Naproxen

Ni dawa ya kutuliza maumivu makali ya mwili. Dawa hii ipo kwenye kundi la dawa jamii ya NSAIDS. Hupatikana mfumo wa vidonge, tembe au kimiminika

Piroxicam

Piroxicam

Ni dawa kwa ajili ya kutuliza maumivu makali ya mwili, uvimbe wa jeraha na kukakamaa kwa jointi kutokana na ugonjwa wa athraitizi

Tolbutamide

Tolbutamide

Tolbutamide ni dawa ya kumeza inayotumika kwenye matibabu ya ugonjwa wa kisukari iliyo kundi la sulphonylurea.

Linagliptin

Linagliptin

Linagliptin ni dawa ya inayotumika katika tiba ya ugonjwa wa kisukari aina ya pili, ipo kwenye kundi la dawa linaloitwa dipeptidyl peptidase-4 (DPP-4) na hufahamika kwa jina jingine la Tradjenta.

Phenformin

Phenformin

Ni dawa ya kumeza iliyokuwa ukitumika katika matibabu kisukari aina ya pili ila kwa sasa imeondolewa sokoni kutokan ana madhara yake. Phenformin ipo kundi la dawa la Biguanide.

Alogliptin

Alogliptin

Alogliptin ni dawa ya inayotumika katika tiba ya ugonjwa wa kisukari aina ya pili, ipo kwenye kundi la dawa linaloitwa dipeptidyl peptidase-4 (DPP-4) na hufahamika kwa jina jingine la Nesina.

Sitagliptin

Sitagliptin

Sitagliptin ni dawa ya inayotumika katika tiba ya ugonjwa wa kisukari aina ya pili, ipo kwenye kundi la dawa linaloitwa dipeptidyl peptidase-4 (DPP-4) na hufahamika kwa jina jingine la januvia.

Saxagliptin

Saxagliptin

Saxagliptin ni dawa jamii ya dipeptidyl peptidase-4 (DPP-4) inayotumika katika matibabu ya kisukari aina ya pili.

Vildaglipitin

Vildaglipitin

Ni dawa ya inayotumika katika tiba ya ugonjwa wa kisukari aina ya pili, ipo kwenye kundi la dawa linaloitwa dipeptidyl peptidase-4 (DPP-4).

Buformin

Buformin

Ni dawa ya kumeza inayotumika katika matibabu ya ugonjwa wa kisukari, dawa hii ipo kwenye kundi la dawa linaloitwa Biguanide.

Amlodipine

Amlodipine

Ni aina ya dawa iliyo kwenye kundi la dawa za kushusha shinikizo la juu la damu linaloitwa kalisimau chaneli bloka, hutumika katika matibabu ya shinikizo la juu la damu(haipatensheni) na anjaina.

Hujapata dawa unayotafuta?

 

Endapo hujapata dawa unayotafuta andika katika kiboksi kilichoandikwa  "Tafuta chochote hapa...." juu ya kurasa hii na endapo hujapata katika kiboksi hiko basi wasiliana na wafamasia wa ULY CLINIC maelezo zaidi kuhusu dawa.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya linki ya 'Mawasiliano yetu' au 'Pata tiba' chini ya tovuti hii

bottom of page