Dawa
ULY CLINIC inakutahadharisha kuwa matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari yanaweza kuleta madhara makubwa mwilini mwako.
Siku zote wasiliana na daktari wako kwa elimu na ushauri wa dawa gani na namna ya kutumia dawa inayoendana na hali yako halisi kama mbadala ya kujichukulia hatua mwenyewe.
Bonyeza 'Soma zaidi ' kwenye dawa unayohitaji kuanza kusoma kuhusu dawa hiyo..

Benazepril
Benazepril ni dawa mojawapo ya kutibu shinikizo la juu la damu iliyopo kwenye kundi la dawa linaloitwa angiotensini konventing enzaimu inhibita -ACEIs. Dawa hii iliyo maarufu kwa jina la lalotensin huwa na rangi ya pinki, njano na nyeupe lakini mara nyingi hutegemea aina ya kiwanda kinachotengeneza.

Trandolapril
Trandolapril ni dawa mojawapo ya kutibu shinikizo la juu la damu iliyopo kwenye kundi la dawa linaloitwa angiotensini konventing enzaimu Inhibita (ACEIs). Dawa hii iliyo maarufu kwa jina la Mavik huwa na rangi ya nyeupe, njano na pink lakini huweza kubadilika kutokana na aina ya kiwanda kinachotengeneza.
Hujapata dawa unayotafuta?
Endapo hujapata dawa unayotafuta andika katika kiboksi kilichoandikwa "Tafuta chochote hapa...." juu ya kurasa hii na endapo hujapata katika kiboksi hiko basi wasiliana na wafamasia wa ULY CLINIC maelezo zaidi kuhusu dawa.
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya linki ya 'Mawasiliano yetu' au 'Pata tiba' chini ya tovuti hii










