top of page

Faida za vyakula

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Maziwa ya mchele: Faida za Kiafya

Ni mepesi sana tumboni na rahisi kumeng’enywa kuliko aina nyingi za maziwa ya mimea. Ni chaguo zuri hasa kama una matatizo ya tumbo, gesi au hata wakati wa kuharisha, kwa sababu hayana laktosi na yana muundo mwepesi usiobughudhi tumbo.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Maziwa ya Hazeli: Faida za Kiafya

Yamesheheni kiasi kikubwa cha omega-3 na asidi nyingi zisizo na mafuta mengi na vitamin E Kuliko mimea mingine asili ya mbogamboga.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Tufaa: Faida za Kiafya

Huwa na uwezo mkubwa katika tiba lishe, mbegu zake zikitumika kiusahihi hutibu na kuzuia saratani. Ulaji wa mara kwa mara wa tunda hudhibiti kiwango cha sukari na mafuta kwenye damu.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Ubuyu: Faida za Kiafya

Ni moja ya tunda lenye sifa ya kuwa na kiwango kikubwa cha viuasumu na polyphenol, matumizi yake ya mara kwa mara hukinga na kudhibiti magonjwa sugu kama magonjwa ya moyo, kisukari na saratani.

chembe-yenye-saratani-ya-leukemia--ulycl

Kitani: Faida za Kiafya

Mbegu za kitani ni mbegu zitokanazo na mmea wa kitani wenye asili ya ya mashariki ya kati, hata hivyo kwa sasa umeenea Duniani kote.

bottom of page